Mfumo wa kisasa wa kiitaluma unaounganisha Uongozi wa Shule, Walimu, Wazazi na Wanafunzi kwa ajili ya kufuatilia Maendeleo ya Taaluma, Ada na Taarifa Muhimu kwa urahisi .
Ufuatiliaji wa matokeo ya mitihani, ripoti za maendeleo na mahudhurio ya wanafunzi muda wowote.
Kagua kumbukumbu za malipo ya ada, risiti na salio la ada kwa uwazi bila ucheleweshaji.
Pata matangazo ya shule, ratiba za vikao na taarifa za dharura mara moja kupitia.